sw_tn/psa/071/023.md

28 lines
619 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Midomo yangu itapiga kelele ya furaha
"Midomo" ni njia nyingine ya kusema mtu mzima. "Nitapiga kelele ya furaha"
# hata nafsi yangu, ambayo umeikomboa
"na nafsi yangu, ambayo umekomboa, itaimba sifa"
# nafsi yangu
Hapa "nafsi" inamaanisha mtu mzima"
# Ulimi wangu pia utazungumza
Hapa "ulimi" unamaanisha mtu mzima. "nitazungumza pia"
# wameaibishwa na kuchanganywa, wale waliotafuta kuniumiza
"wale walio tafuta kuniumiza wameaibishwa na kuchanganywa"
# kwa kuwa wameaibishwa na kuchanganywa
"kwa kuwa Mungu amewaaibisha na kuwachanganya"
# wale waliotafuta kuniumiza
Hii inamaanisha adui wa mwandishi.