# Midomo yangu itapiga kelele ya furaha "Midomo" ni njia nyingine ya kusema mtu mzima. "Nitapiga kelele ya furaha" # hata nafsi yangu, ambayo umeikomboa "na nafsi yangu, ambayo umekomboa, itaimba sifa" # nafsi yangu Hapa "nafsi" inamaanisha mtu mzima" # Ulimi wangu pia utazungumza Hapa "ulimi" unamaanisha mtu mzima. "nitazungumza pia" # wameaibishwa na kuchanganywa, wale waliotafuta kuniumiza "wale walio tafuta kuniumiza wameaibishwa na kuchanganywa" # kwa kuwa wameaibishwa na kuchanganywa "kwa kuwa Mungu amewaaibisha na kuwachanganya" # wale waliotafuta kuniumiza Hii inamaanisha adui wa mwandishi.