sw_tn/psa/071/014.md

32 lines
715 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# zaidi na zaidi
"zaidi wakati wote" au "daima zaidi ya nilivyofanya kabla"
# Mdomo wangu utaeleza
Mdomo ni njia nyingine ya kumwakilisha mtu mzima. "Nitaeleza" au "Nitazungumza kwa mdomo wangu na kueleza"
# haki yako
"jinsi ulivyo mwenye haki" au "vitu vyote vizuri unavyovifanya"
# wokovu wako
"jinsi ulivyoniokoa" au "jinsi unavyookoa watu"
# ingawa
"hata kama"
# Nitakuja
Maana zinazowezekana ni 1) "Nitaenda mahali ambapo watu wanamwabudu Yahwe" au 2) "Nitaenda kwa adui zangu"
# kwa matendo makuu ya Bwana Yahwe
Maana zinazowezekana ni 1) "nitawaambia kuhusu matendo makuu aliyoyafanya Bwana Yahwe" au 2) "kwa sababu Bwana Yahwe amenipa nguvu kufanya matendo makuu"
# nita taja
"nitazungumzia"