sw_tn/psa/069/018.md

16 lines
528 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# niokoe
Mwandishi anamwomba Mungu kumwokoa kana kwamba mwandishi alikuwa ni mtumwa ambaye uhuru wake ungewezz kununuliwa na Mungu.
# nikomboe mateka
Mwandishi anazungumzia kulipia fidia maisha yake kana kwamba alikuwa mtumwa ambaye uhuru wake ungeweza kununuliwa kwa fedha.
# lawama yangu, aibu yangu, na fedheha yangu
"jinsi watu walivyonilaumu, niaibisha, na kunifedhehesha"
# adui zangu wote wako mbele zako
Hapa "mbele zako" inamaanisha kuwa Mungu anaona na kujua yote kuwahusu. "unajua adui zangu wote ni kinanani"