sw_tn/psa/068/028.md

20 lines
478 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mungu wenu, Israeli, ameagiza nguvu yenu
Tafsiri zingine zinaelewa maandiko ya Kihebrania tofauti. "Amrisha (au tumia) nguvu yako, Mungu"
# Mungu wenu, Israeli, ameagiza
"Watu wa Israeli, Mungu wenu ameagiza"
# kwetu
Neno "kwetu" linamaanisha watu ambao Daudi anazungumza nao na yeye mwenyewe.
# Onesha uwezo wako kwetu kutoka katika hekalu lako Yerusalemu
Unapokuwepo katika hekalu lako Yerusalemu, tuoneshe uwezo wako"
# Onesha uwezo wako
"Tuonesha kuwa una nguvu"