sw_tn/psa/066/016.md

20 lines
550 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitatangaza alichofanya kwa ajili ya nafsi yangu
Neno "nafsi" linamwakilisha mtu mzima. "Nitakwambia alichofanya kwa ajili yangu"
# Nililia kwake kwa mdomo wangu
Neno "mdomo" linamwakilisha mtu mzima. anayelia kwa Mungu.
# alisifiwa kwa mdomo wangu
Hpa "ulimi" unawakilisha maneno au hotuba. "Nilimsifu kwa ulimi wangu" au "Nilimsifu"
# ningeona dhambi
"ningependa dhambi" au "kutunza udhalimu"
# asinge nisikiliza
Hapa "asinge nisikiliza" inadokeza kuwa Mungu asinge jibu ombi lake. "asinge nisikia nikimwita" au "asinge jibu ombi langu"