sw_tn/psa/065/004.md

20 lines
538 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# unayemchagua ... nyuani mwako
Maneno "unaye" na "mwako" yanamaanisha Yahwe.
# aishi nyuani mwako
Hii haimaanisha kuwa mtu huyo anaishi kweli kwenye hekalu lakini ni kwamba yuko huko mara kwa mara kumwabudu Yahwe. "aabudu mara kwa mara katika hekalu lako"
# Tutaridhika na uzuri wa nyumba yako, hekalu lako takatifu
"Uzuri wa nyumba yako, hekalu lako takatifu, utaturidhisha"
# Tutaridhika
Hapa anayezungumziwa ni Daudi na watu anaozungumza nao.
# nyumba yako, hekalu lako takatifu
"nyumba yako, ambalo ni hekalu lako takatifu"