sw_tn/psa/045/012.md

20 lines
474 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendelea kuzungumza na malkia.
# Binti wa Tiro
Mwandishi anazungumza na watu wanaoishi Tiro kana kwamba ni watoto wa Tiro. "Watu wa Tiro"
# binti wa kifalme
Hii inamaanisha mwanamke ambaye mfalme atamuoa. "Bibi arusi wa mfalme"
# amependeza
"mzuri sana." Hii inamaanisha mwonekano wa mwanamke.
# mavazi yake yameundwa kwa dhahabu
Mavazi yake yamepambwa au kushonwa kwa dhahabu. "anavaa mavazi ambayo mtu ameshona kwa uzi wa dhahabu"