# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaendelea kuzungumza na malkia. # Binti wa Tiro Mwandishi anazungumza na watu wanaoishi Tiro kana kwamba ni watoto wa Tiro. "Watu wa Tiro" # binti wa kifalme Hii inamaanisha mwanamke ambaye mfalme atamuoa. "Bibi arusi wa mfalme" # amependeza "mzuri sana." Hii inamaanisha mwonekano wa mwanamke. # mavazi yake yameundwa kwa dhahabu Mavazi yake yamepambwa au kushonwa kwa dhahabu. "anavaa mavazi ambayo mtu ameshona kwa uzi wa dhahabu"