sw_tn/psa/044/009.md

20 lines
634 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# umetutupa
Mwandishi anazungumzia kukataliwa kwa Israeli kana kwamba alikuwa akitupa nguo ambayo haitaki. "kutukataa"
# ngawira
mali ambazo jeshi hukusanya baada ya kushinda vita
# Umetufanya kama kondoo waliokusudiwa kuwa chakula
Mwandishi anafananisha Waisraeli na kondoo ambao watu huua na kula. Kama kondoo wasiojiweza mbele ya wale wanaowaua, kwa hiyo Waisraeli hawajiwezi mbele ya adui zao. "Umewaruhusu adui zetu kutuua kama wanavyoua kondoo na kumla"
# waliokusudiwa kuwa chakula
"tumekusudiwa kuwa chakula ambacho watu wanakula"
# kututawanya miongoni mwamataifa
"kutusababisha kuishi katika mataifa mengi tofauti"