sw_tn/psa/041/007.md

20 lines
708 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wanatamani niumie
Maana zinazowezekana ni 1) "wanatamani kwamba vitu vibaya sana vinikute" au 2) "wanapanga kunidhuru"
# Ugonjwa uovu ... kwake
Adui zangu wanazungumzia "ugonjwa" kana kwamba ni mtu aliyemkamata. "Ni mgonjwa na ugonjwa hatari"
# Ugonjwa uovu
Maana zinazowezekana ni 1) "ugonjwa wa mauti" au 2) "Kitu kiovu"
# kwa sasa amelala chini, hatainuka tena
Hapa maneno "amelala chini" inamaanisha kulala kitndani kwa sabau ya ugonjwa. Kuwa "hatainuka" inamaanisha ataendelea kulala chini, ambayo pia tasifida ya kifo. "kwa kuwa sasa yuko kitandani, atakufa hapo"
# ameinua kisigo chake dhidi yangu
Hii ni lahaja inayomaanisha rafiki yake amemsaliti. "amenisaliti" au "amegeuka dhidi yangu"