sw_tn/psa/039/002.md

12 lines
466 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nilikaa kimya; nilitunza maneno yangu
Misemo hii miwili inamaana moja na inasisitiza kuwa mwandishi hakuzungumza kabisa. "Nilikuwa kimya kabisa"
# nilitunza maneno yangu
Hapa "maneno yangu" inamaanisha maneno ya mwandishi. "sikuzungumza"
# Moyo wangu ukachemka ... ukawaka kama moto
Hapa "moyo" unamwakilishi mtu mzima. Mawazo ya wasiwasi ya mwandishi yanazungumziwa kana kwamba ni moto unaomuunguza ndani yake. "Nikawa na wasiwasi sana nilipowaza hivi vitu"