# Nilikaa kimya; nilitunza maneno yangu Misemo hii miwili inamaana moja na inasisitiza kuwa mwandishi hakuzungumza kabisa. "Nilikuwa kimya kabisa" # nilitunza maneno yangu Hapa "maneno yangu" inamaanisha maneno ya mwandishi. "sikuzungumza" # Moyo wangu ukachemka ... ukawaka kama moto Hapa "moyo" unamwakilishi mtu mzima. Mawazo ya wasiwasi ya mwandishi yanazungumziwa kana kwamba ni moto unaomuunguza ndani yake. "Nikawa na wasiwasi sana nilipowaza hivi vitu"