sw_tn/psa/038/015.md

12 lines
331 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# utajibu
Maana zinazowezekana ni 1) "utanijibu" au 2) "utawajibu adui zangu."
# wasinicheke
"hawatafurahi juu ya shida yangu"
# Kama mguu wangu ukiteleza
Hapa "mguu" unmwakilisha mwandishi. Kuteleza kwa mguu wake ni sitiari inayomaanisha matatizo ya mwandishi na bahati mbaya. "Kama nikifanya makosa ya kunisababishia taabu"