# utajibu Maana zinazowezekana ni 1) "utanijibu" au 2) "utawajibu adui zangu." # wasinicheke "hawatafurahi juu ya shida yangu" # Kama mguu wangu ukiteleza Hapa "mguu" unmwakilisha mwandishi. Kuteleza kwa mguu wake ni sitiari inayomaanisha matatizo ya mwandishi na bahati mbaya. "Kama nikifanya makosa ya kunisababishia taabu"