sw_tn/psa/037/018.md

12 lines
296 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# huwaangalia wasio na lawama
"Kuangalia" inamaanisha kumlinda mtu. Hapa 'wasio na lawama" inamaanisha watu wasio na lawama. "huwalinda watu wasio na lawama"
# siku kwa siku
"kila siku" au "kwa kuendelea"
# wakati nyakati ni mbaya
Msemo huu unamaanisha maafa, kama njaa. "maafa yanapotokea"