# huwaangalia wasio na lawama "Kuangalia" inamaanisha kumlinda mtu. Hapa 'wasio na lawama" inamaanisha watu wasio na lawama. "huwalinda watu wasio na lawama" # siku kwa siku "kila siku" au "kwa kuendelea" # wakati nyakati ni mbaya Msemo huu unamaanisha maafa, kama njaa. "maafa yanapotokea"