sw_tn/psa/037/005.md

20 lines
600 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mpe Yahwe njia zako
Hapa "kumpa njia zako" ni lahaja inayomaanisha kumwomba Yahwe kuongoza maisha yako. "Mwombe Yahwe aongoze matendo yako katika maisha"
# atatenda kwa niaba yako
Hii ni kumwakilisha mwingine katika mambo ya kisheria. Hapa, mtu anayemtumaini Yahwe, atamlinda mtu huyo na kumpa haki mtu huyo.
# kama mchana ... kama siku mchana
Misemo hii yote ina maana ya kufanana.
# kama mchana
Hii inamaanisha "mbele ya watu wote." "wazi kuona kama mwanga wa mchana"
# kama siku mchana
HIi inamaanisha "kuonekana kama jua la mchana." "kuonekana kama nuru wakati wa mwanga zaidi mchana"