forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
771 B
Markdown
32 lines
771 B
Markdown
|
# Endeleza uaminifu wa agano lako kikamilifu
|
||
|
|
||
|
"Endeleza uaminifu wako wa agano"
|
||
|
|
||
|
# ulinzi wako kwa wanyofu wa moyo
|
||
|
|
||
|
"Endelea" inadokezwa kutoka katika msemo uliopita. "Endelea kuwalinda wanyofu wa moyo"
|
||
|
|
||
|
# wanyofu wa moyo
|
||
|
|
||
|
Hapa "moyo" inamaanisha watu. "wanyofu" au "watu wanaoenenda kwa haki"
|
||
|
|
||
|
# mguu wa aliye na majivuno ... mkono wa mwovu
|
||
|
|
||
|
Hapa "mguu" na "mkono" inamaanisha watu waovu. Hawa sio watu bayana. Hii inamaanisha watu waovu kwa ujumla. "watu wenye majivuno ... watu waovu"
|
||
|
|
||
|
# uniondoe
|
||
|
|
||
|
"unifanye niondoke sehemu yangu"
|
||
|
|
||
|
# watenda maovu wameanguka; wameangushwa chini na hawawezi kuinuka
|
||
|
|
||
|
Misemo hii mitatu inaeleza watenda maovu kama watu walioshindwa.
|
||
|
|
||
|
# wameangushwa chini
|
||
|
|
||
|
"umewaangusha chini" au "umewaangamiza"
|
||
|
|
||
|
# hawawezi kuinuka
|
||
|
|
||
|
"hawawezi kuinuka"
|