sw_tn/psa/035/021.md

36 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wanafungua midomo wazi yao dhidi yangu
Sababu ya kufungua midomo yao ni kumshtaki mwandishi. "Wananipigia kelele ili wanashtaki"
# Aha, Aha
Huu ni mshangao unaotumika wakati kitu kinaonekana ghafla au kueleweka. Unaweka mkazo katika kauli inayofuata.
# macho yetu yameona
Hapa "macho yetu" inamanisha macho ya adui. Inadokezwa kuwa wanasema kwamba wamemwona mwandishi anafanya kitu kibaya. "tumeona" au "tumeona makosa uliyofanya"
# Umeiona
Hapa walichoona ni mashtaka ya uongo ya adui wa mwandishi. "Umeona jinsi walivyonishtaki kimakosa"
# usiwe kimya
"usiache kujali walichonifanyia." Hii inaweza kuelezwa katika hali chanya. "wahukumu kwa sababu ya kile walichofanya"
# usiwe mbali na mimi
Hii inaweza kuelezwa katika hali chanya. "uwe karibu sana na mimi"
# Jiinue na uamke
Hii haimaanishi kuwa Mungu kweli yuko usingizi. Mwandishi anataka Mungu aingilie kati. Maneno yote yana maana moja na yanasisitiza uharaka wa ombi hili. "Nahisi kama umelala! Amka"
# kwa utetezi wangu
"kunilinda"
# madai yangu
Hii inamaanisha mwandishi. "mimi"