sw_tn/psa/034/002.md

16 lines
388 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walio kandamizwa
Hii inamaanisha watu walio kandamizwa. "watu walio kandamizwa"
# Msifuni Yahwe pamoja na mimi
Kitenzi "msifuni" ni amri kwa kikundi. "Kila mtu anapaswa kumsifu Yahwe pamoja na mimi"
# inueni jina lake
Hapa "inueni" ni lahaja inayomaanisha kumtukuza Yahwe. "waambieni watu jinsi alivyo mkuu"
# jina lake
Hapa "jina lake" linammanisha tabia ya Yahwe. "tabia yake"