sw_tn/psa/031/019.md

32 lines
902 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wema wako
Hii inaweza kuelezwa kama kitenzi. "ni vitu vizuri unavyofanya"
# uliutunza
Wema wa Yahwe unazungumziwa kana kwamba ni kitu kinachoweza kutunzwa kama mazao. "unayoweka tayari kwa ajili ya matumizi"
# wale wanao kuheshimu
"wale wanao kuheshimu sana"
# wanao kukimbilia
Kwenda kwa Yahwe kwa ajili ya ulinzi inazungumziwa kama kumkimbilia. "wale wanaoenda kwako kwa ajili ya ulinzi"
# Katika kivuli cha uwepo wako; unawaficha... Unawaficha katika kivuli
Misemo hii miwili inamaanisha kuwa Mungu anawalinda.
# katika kivuli
Uwepo wa Yahwe unazungumziwa kana kwamba ni jengo imara ambapo mwandishi atakuwa salama.
# Unawaficha katika kivuli
Hapa "kivuli" kinawakilisha sehemu salama. "Unatoa sehemu salama kwa ajili yao"
# dhidi ya vurugu ya ndimi
Hapa "ndimi" zinawakilisha watu wanaozungumza mambo makali sana dhidi ya mwandishi. "ambapo adui zao hawawezi kuzungumza uovu kwao"