sw_tn/psa/031/003.md

24 lines
911 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwamba wangu
Yahwe anazungumziwa kana kwamba ni mwamba mkubwa utakao mlinda mwandishi na shambulio. "kama mwamba mkubwa ambao nitakuwa salama"
# ngome yangu
Yahwe anazungumziwa kana kwamba ni ngome imara ambao mwandishi atalindwa kutoka kwa adui zake.
# kwa ajili ya jina lako
Katika msemo huu "jina" inamwakilisha Yahwe. "ili jina lako lipewe heshima" au "ili nilikuabudu"
# niongoze na unichunge
Maneno "kuongoza" na "kuchunga" yana maana sawa na yana imarisha ombi kwambaYahwe amuongoze. "niongoze pale unapotaka niende"
# Ning'oe kutoka kwenye wavu walioficha kwa jili yangu
Mwandishi anazungumziwa kana kwamba ni ndege aliye naswa katika wavu, na kumsubiri Yahwe kumweka huru kutoka kwenye mtego.
# wewe ni kimbilio langu
Yahwe anazungumziwa kana kwamba ni sehemu ambayo mwandishi anaweza kujificha kutoka kwa watu wanao mshambulia. "wewe hunilinda daima" au "huwa unanipa ulinzi wakati wote"