# mwamba wangu Yahwe anazungumziwa kana kwamba ni mwamba mkubwa utakao mlinda mwandishi na shambulio. "kama mwamba mkubwa ambao nitakuwa salama" # ngome yangu Yahwe anazungumziwa kana kwamba ni ngome imara ambao mwandishi atalindwa kutoka kwa adui zake. # kwa ajili ya jina lako Katika msemo huu "jina" inamwakilisha Yahwe. "ili jina lako lipewe heshima" au "ili nilikuabudu" # niongoze na unichunge Maneno "kuongoza" na "kuchunga" yana maana sawa na yana imarisha ombi kwambaYahwe amuongoze. "niongoze pale unapotaka niende" # Ning'oe kutoka kwenye wavu walioficha kwa jili yangu Mwandishi anazungumziwa kana kwamba ni ndege aliye naswa katika wavu, na kumsubiri Yahwe kumweka huru kutoka kwenye mtego. # wewe ni kimbilio langu Yahwe anazungumziwa kana kwamba ni sehemu ambayo mwandishi anaweza kujificha kutoka kwa watu wanao mshambulia. "wewe hunilinda daima" au "huwa unanipa ulinzi wakati wote"