sw_tn/psa/031/001.md

32 lines
1022 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Kwa mwanamuziki mkuu
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu"
# Zaburi ya Daudi
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
# Katika wewe Yahwe, ninakukimbilia
Kwenda kwa Yahwe kwa ajili ya ulinzi inazungumziwa kama kumkimbilia. "Naenda kwako Yahwe, kwa ajiliya ulinzi"
# usiniache niaibike kamwe
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "usiwaache wengine waniaibishe"
# uwe mwamba wangu wa kukimbilia; ngome ya kuniokoa
Mseno "uwe mwamba wangu wa kukimbilia" ni ombi kwa ajili ya ulinzi. Msemo wa pili unawekea mkazo msemo wa kwanza.
# mwamba wangu wa kukimbilia
Yahwe anazungumziwa kana kwamba yeye ni mwamba mkubwa ambao utamlinda mwandishi na mashambulio. "kama mwamba mkubwa ambao nitakuwa salama"
# ngome ya kuniokoa
Yahwe anazungumziwa kana kwamba yeye ni ngome imara ambayo mwandishi anaweza kulindwa dhidi ya adui zake.