sw_tn/psa/029/009.md

20 lines
460 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sauti ya Yahwe husababisha
Hapa "sauti" inamaanisha Yahwe anazungumza. "Yahwe akizungumza, sauti husababisha"
# mwaloni kujikunja
"miti mikubwa kutikisika"
# na kuuvua msitu
Kutoa majani ya miti inazungumziwa kana kwamba ilikuwa kuvua nguo zao. "hutoa majani kwenye miti"
# Yahwe ameketi kama mfalme
Hii inamaanisha kuwa Yahwe anatawala. "Yahwe anatawala" au "Yahwe ni mfalme"
# juu ya mafuriko
Hapa "mafuriko" yanamaanisha maji yanayofunika dunia.