sw_tn/psa/027/002.md

28 lines
814 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuteketeza mwili yangu
Kumwangamiza mtu kabisa inazungumziwa kana kwamba ni kuangamiza mwili wa mtu. Hamaanishi kwamba walitaka kula mwili wake. "kuniangamiza"
# washindani wangu na adui zangu
Maneno haya yana maana sawa. Hawa ndio watenda maovu walisogea karibu yake.
# walijikwaa na kuanguka
Hii inaashiria adui wa mwandishi kushindwa kutimiza mipango yao kumdhuru mwandishi. "hawakufanikiwa"au "walishindwa"
# Ingawa jeshi linweka kambi dhidi yangu
"ingawa jeshi linanizunguka" au "ingawa jeshi linanizunguka na mahema"
# moyo wangu hautaogopa
Hapa "moyo" unawakilisha mtu mzima. "Sitaogopa"
# ingawa vita zinainuka
Adui wa mwandishi wanazungumziwa kana kwamba wao wenyewe wako vitani. "ingawa adui zangu wanakuja kupigana na mimi"
# nitabaki na ujasiri
"nitaendelea kumtumaini Mungu kunisaidia"