sw_tn/psa/026/001.md

36 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Zaburi ya Daudi
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
# Nimetembea
Neno "kutembea" ni sitiari ya tabia. "Nimeenenda"
# Yahwe
Matumizi ya mtu wa tatu wa "Yahwe" inaweza kuelezwa katika hali ya mtu wa pili. "wewe"
# bila kuyumba
Mashaka yanazungumziwa kana kwamba ilikuwa ni kuyumba na kupepea mbele na nyuma. "bila kuwa na shaka"
# Nichunguze
"Nijaribu"
# jaribu usafi wa sehemu zangu za ndani na moyo wangu
Hapa "sehemu za ndani" na "moyo" inamaanisha nia. "jaribu kama nia zangu ni nzuri"
# Kwa kuwa uaminifu wako wa agano uko mbele ya macho yangu
Hapa "macho" yanawakilisha mawazo ya mtu. "Kwa kuwa huwa nawaza kuhusu jinsi ulivyo mwaminifu kwangu kwa sababu ya agano lako"
# ninatembea katika uaminifu wako
Neno "kutembea" ni sitiari ya tabia. "Ninaendesha maisha yangu kulingana na uaminifu wako" au "Ninaenenda jinsi nilivyo kwa sababu ya uaminifu wako"