sw_tn/psa/022/024.md

44 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hajadharau wala kuchukizwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali chanya. "amependa na kuona bora kabisa"
# hajadharau wala kuchukizwa na mateso ya aliyeteswa
Hapa "mateso" inamaanisha mtu anayeteseka. "hajamdharau wala kumchukia yule anayeteseka"
# hajadharau wala kuchukizwa
Maneno haya mawili yana maana ya kufanana na yanasisitiza kuwa Mungu hajamsahau mwandishi.
# hajadharau
"chukia sana"
# kuchukizwa
"kukemea"
# mateso ya aliyeteswa ...kwake ... aliyeteswa alipolia
Hii inaweza kuelezwa ili imaanishe yeyote anayeteseka. "wale wanaoteseka ... kwao ... wale wanaoteseka walilia"
# hajaficha uso wake
Hii ni lahaja. "hajageuza usikivu wake" au "hajaacha kunizingatia"
# alisikia
"alisikiliza." Inadokezwa kuwa alijibu aliposikia kilio chao. "alijibu" au "alisaidia"
# kwa sababu yako
Anayezungumziwa hapa ni Yahwe.
# nitatimiza viapo vyangu
Hii inamaanisha sadaka ambazo mwandishi aliahidi kumtolea Mungu.
# mbele yao
Ambaye wanamcha ni Yahwe. Inaweza kuelezwa kama "wewe." "mbele yao wanaokugopa wewe"