sw_tn/psa/021/003.md

20 lines
601 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# unamletea baraka nyingi
Nomino dhahania "baraka" inaweza kuelezwa kama kitenzi. "unambariki sana" au "unampa vitu vingi vizuri"
# umeweka kichwani mwake taji la dhahabu safi
Kuweka taji juu ya kichwa cha mtu ni ishara ya kumfanya kuwa mfalme.
# taji la dhahabu safi
Hapa "dhahabu safi" inaashiria heshima kubwa anayopewa mfalme.
# Aliomba uhai; ukampa
Nomino dhahania ya "uhai" inaweza kuelezwa kama kitenzi. "Alikuomba kuwa umfanye aishi kwa muda mrefu, ukaifanya itokee"
# siku ndefu milele na milele
Maana zinazowezekana ni 1) maisha marefu sana au 2) masiha ya milele au 3) uzao mrefu.