forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
580 B
Markdown
12 lines
580 B
Markdown
|
# Kamba za mauti zinanizunguka
|
||
|
|
||
|
Daudi anazungumzia kifo kana kwamba ni mtu anayeweza kukamata na kumfunga kwa kamba. "Nilikuwa nataka kuuwawa"
|
||
|
|
||
|
# maji yanayokimbia ya yasiyofaa
|
||
|
|
||
|
Daudi ni mnyonge kana kwamba anabebwa na mafuriko ya maji yanayokimbia. "Nilihisi kuwa mnyonge kabisa"
|
||
|
|
||
|
# Kamba za kuzimu zinanizunguka; mitego ya mauti imeninasa
|
||
|
|
||
|
Hapa "kuzimu," sehemu ya wafu, na "mauti" zinazungumziwa kana kwamba ni watu wanaoweza kumzunguka na kumtega. Vishazi hivi viwili vina maana ya kufanana na wazo linarudiwa kwa ajili ya mkazo. "Nilihisi kubanwa na nikadhani ninaenda kufa"
|