sw_tn/psa/016/004.md

12 lines
321 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taabu zao zita... miungu
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Taabu za wale wanaotafuta miungu mingine zitaongezeka"
# sitamwaga ... damu kwa miungu wao
"kutoa sadaka kwa miungu yao"
# kuinua majina yao na midomo yangu
Kuinua "majina yao na midomo yangu" inamaanisha kusifu miungu mingine au kuomba kwao.