# Taabu zao zita... miungu Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Taabu za wale wanaotafuta miungu mingine zitaongezeka" # sitamwaga ... damu kwa miungu wao "kutoa sadaka kwa miungu yao" # kuinua majina yao na midomo yangu Kuinua "majina yao na midomo yangu" inamaanisha kusifu miungu mingine au kuomba kwao.