sw_tn/psa/015/001.md

16 lines
466 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Zaburi ya Daudi
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
# Nani aishi kwenye kilima chako kitakatifu?
"Kilima kitakatifu" hapa kinaashiria hekalu la Mungu, ambalo lilikuwa kwenye mlima Sayuni. "Nani aishi kwenye sehemu yako takatifu?"
# anazungumza ukweli kutoka moyoni mwake
"anazungumza ukweli"