# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Zaburi ya Daudi Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi. # Nani aishi kwenye kilima chako kitakatifu? "Kilima kitakatifu" hapa kinaashiria hekalu la Mungu, ambalo lilikuwa kwenye mlima Sayuni. "Nani aishi kwenye sehemu yako takatifu?" # anazungumza ukweli kutoka moyoni mwake "anazungumza ukweli"