sw_tn/psa/004/004.md

20 lines
519 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtetemeke kwa hofu
Uhusiano kati ya "kutetemeka" na "hofu" na ni nani watu wanapaswa kumhofu unaweza kuelezwa vizuri. "Mche Yahwe sana hadi utetemeke" au "Simama kwa kumshangaa Yahwe"
# Mtetemeke
"Mtikisike"
# Tafakari moyoni mwako
Moyo unaashiria mawazo ya mtu. Kuwaza kwa umakini inazungumziwa kama kutafakari ndani ya moyo wa mtu. "Waza kwa umakini:
# Toa sadaka za haki
"Toa sadaka zilizo sawa"
# weka imani yako kwa Yahwe
Imani inazungumziwa kama vile ni kitu kinachoweza kuweka sehemu. "muamini Yahwe"