sw_tn/psa/001/004.md

20 lines
693 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Waovu hawako hivyo
Jinsi wasivyo hivyo inaweza kuwekwa wazi. "Waovu hawana mafanikio" au "Waovu hawafanikiwi"
# lakini ni kama makapi
Jinsi walivyo kama nyasi inaweza kuwekwa wazi. "lakini hawana faida kama makapi"
# hawatasimama katika hukumu
Kupona wakati Mungu anahukumu inazungumziwa kama "kusimama." "hawatapona wakati Mungu anawahukumu" au "watalaaniwa Mungu atakapo wahukumu"
# wala watenda dhambi katika kusanyiko
"wala watenda dhambi kusimama katika kusanyiko"
# wala watenda dhambi katika kusanyiko la wenye haki
Kukubaliwa na Mungu kama mwenye haki inazungumziwa kama kusimama na kundi la watu wenye haki. "na Mungu hatawakubali watenda dhambi pamoja na watu wenye haki"