sw_tn/pro/31/06.md

16 lines
212 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# na mvinyo
" na mpe mvinyo"
# katika uchungu wa dhiki
"ambao nafsi zao zinauchungu" au "ambao wapo katika mateso"
# umaskini wake
"jinsi alivyo maskini"
# taabu yake
"mambo mabaya ambayo yanatokea kwake"