sw_tn/pro/30/21.md

16 lines
443 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# chini ya vitu vitatu dunia hutetemeka, na chini ya vinne haiwezi kuvivumilia
"kuna baadhi ya vitu huifanya dunia kutetemeka, ambavyo haiwezi kuvivumilia, vinne katika hivyo ni:"
# mpumbavu anaposhiba chakula
"Mpumbavu mwenye chakula cha kutosha"
# mwanamke aliyechukiwa anapoolewa
"mwanamke ambaye watu wanamchukia anapoolewa" au "mwanamke aliyetengwa anapoolewa"
# anapochukua nafasi ya bibi yake
anapotawala nyumba(kaya au familia)