sw_tn/pro/30/11.md

20 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kizazi ambacho kinalaani ...na hakibariki .....kizazi ambacho ni
"kizazi cha watu wenye kulaani ...na hawabariki ...kizazi cha watu ambao ni "
# kizazi
aina au aina au kundi
# ni safi machoni pao wenyewe
" huamini kuwa wapo safi"
# hawajaoshwa uchafu wao
"Mungu hajawasamehe dhambi zao"
# uchafu
takataka , siofaa