# kizazi ambacho kinalaani ...na hakibariki .....kizazi ambacho ni "kizazi cha watu wenye kulaani ...na hawabariki ...kizazi cha watu ambao ni " # kizazi aina au aina au kundi # ni safi machoni pao wenyewe " huamini kuwa wapo safi" # hawajaoshwa uchafu wao "Mungu hajawasamehe dhambi zao" # uchafu takataka , siofaa