sw_tn/pro/28/15.md

24 lines
584 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama simba aungurumaye au dubu mwenye hasira ndivyo alivyo mtawala mwovu juu ya watu maskini
watu maskini ambao hawana msaidizi dhidi ya mtawala mwovu ni kama watu ambao simba anawaungurumia na dubu anawashambulia
# dubu mweye hasira
dubu ni mnyama mkubwa mwenye manyoya mengi na ni hatari sana, ana makucha na meno makali
# mtawala aliyepungukiwa ufahamu
"mtawala ambaye hana ufahamu"
# mnyonyaji
mtu ambaye huwatendea watu kwa ukatili na kuyafanya maisha yao kuwa magumu
# yeye achukiaye udhalimu
"yeye achukiaye kuwa dhalimu"
# huongeza siku zake
huishi maisha marefu