sw_tn/pro/27/21.md

24 lines
576 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru kwa ajili ya dhahabu
"kalibu inatumika kusafisha fedha na tanuru hutumika kusafisha dhahabu "
# kalibu
Ni kontena linalotumika kupasha joto vitu kwa joto kali
# tanuru
jiko ambalo linaweza kuwa moto sana
# mtu hujaribiwa wakati wa kusifiwa
"wakati watu wanapomsifu mtu, pia huwa wanampima"
# Kama utamtwang mpumbavu ...bado upumbavu wake hautaondoka kwake
Maana yake mpumbavu hata kama atateseka na kuumia atabaki mpumbavu.
# mchi
kifaa kigumu chenye ncha ya duara, hutumika kwa ajili ya kutwanga vitu kwenye kinu au bakuli