sw_tn/pro/27/15.md

24 lines
527 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mgomvi
maana yake kuwafanya watu wachukiane kula mmoja au kusababisha mabishano makubwa kati ya watu.
# kutona tona daima
"kutona tona kwa mvua daima"
# siku ya mvua
siku yenye mvua mfululizo"
# kumzuia ni kama kuuzuia upepo, au kujaribu kuyashika mafuta katika mkono wako wa kulia
ni vigumu au haina maana kujribu kumzuia ni kama kujaribu kuuzuia upepo au kushika mfuta katika mkono wako
# kumzuia
"kumweka chini ya utawala" au "kumzuia katika ugomvi"
# kuuzuia upepo
"kuushikilia upepo" au "au kuudhibiti upepo"