sw_tn/pro/27/05.md

24 lines
655 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# bora karipo la wazi
"bora kukemewa katika hali ya wazi"
# kuliko upendo wa siri
"kuliko upendo ambao haupo wazi" au "kuliko kupendwa kwa siri"
# Mwaminifu ni majeraha yaliyosababishwa na rafiki
"majeraha ambayo husababishwa na rafiki ni mdhamana " maana yake maumivu au huzuni ambayo mtu hupata wakati rafiki yake anapomkemea au kusahihisha.
# Mwaminifu ni majeraha yaliyosababishwa na rafiki
"Ingawa huleta huzuni, karipio la rafiki ni la kutegemewa"
# lakini adui anaweza kukubusu kwa wingi sana
"busu nyingi za adui ni siyo za kutegemewa" au "adui anaweza kujaribu kudanganya kwa busu maridhawa"
# wingi sana
"maridhawa" au "kwa wingi"