sw_tn/pro/27/01.md

16 lines
298 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# usijifufu kwa ajili ya kesho
"usijisifu kwa ajili ya mipango yako ya kesho"
# siku italeta nini
"nini kitatokea katika siku" au "nini kitatatokea kesho"
# kinywa chako mwenyewe... midomo yako
"wewe mwenyewe"
# mgeni na siyo midomo yako
"mgeni na akusifu na wala siyo midomo yako mwenyewe"