# usijifufu kwa ajili ya kesho "usijisifu kwa ajili ya mipango yako ya kesho" # siku italeta nini "nini kitatokea katika siku" au "nini kitatatokea kesho" # kinywa chako mwenyewe... midomo yako "wewe mwenyewe" # mgeni na siyo midomo yako "mgeni na akusifu na wala siyo midomo yako mwenyewe"