sw_tn/pro/26/07.md

20 lines
451 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kama miguu...mithali katika kinywa cha wapumbavu
"mithali katika kinywa cha wapumbavu ni kama miguu ya mtu aliyepooza ambayo kuning'inia"
# aliyepooza
mtu ambaye hawezi kutembea au kuhisi chochote katika mwili wake wote.
# katika kinywa cha wapumbavu
" katika maongezi ya wapumbavu" au " wapumbavu husema"
# kujaribisha jiwe kwenye teo
"jaribishia jiwe kwenye teo ili lisiweze kurushwa"
# kutoa heshima kwa mpumbavu
"kumheshimu mpumbavu"