# kama miguu...mithali katika kinywa cha wapumbavu "mithali katika kinywa cha wapumbavu ni kama miguu ya mtu aliyepooza ambayo kuning'inia" # aliyepooza mtu ambaye hawezi kutembea au kuhisi chochote katika mwili wake wote. # katika kinywa cha wapumbavu " katika maongezi ya wapumbavu" au " wapumbavu husema" # kujaribisha jiwe kwenye teo "jaribishia jiwe kwenye teo ili lisiweze kurushwa" # kutoa heshima kwa mpumbavu "kumheshimu mpumbavu"