sw_tn/pro/26/03.md

12 lines
532 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mjeledi ni kwa ajili ya farasi, lijamu kwa ajili ya punda na fimbo ni kwa ajili mgongo wa wapumbavu
mjeledi, lijnamu na fimbo ni vitu ambavyo watu hutumia ilikuwafanya farasi, punda, na wapumbavu wanataka nini.
# lijamu kwa ajili ya punda
lijamu imetengenezwa kwa nyuzinyuzi. Watu huweka kwenye vichwa cha punda na kushikilia yuzi moja ili kumfanya punda atembee kama wanavyotaka.
# fimbo ni kwa ajili mgongo wa wapumbavu
Nyakati za Biblia watu waliweza kuwacha watoto wao au watumwa wao kwa fimbo ya mti ili kuwatia adabu.